×
RECHERHCE
×

Salamu Kutoka Kuzimu

×
  • Dans le texte
  • Bouquiner
  • Index
RECHERHCE

Mtobwa, R.

Livrel 138p.
(Fiction)
ISBN: 9789966565952
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha … Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… “Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
×
  • Dans le texte
  • Bouquiner
  • Index
RECHERHCE
×

Bouquiner

Index